Msaada wako kwa huyu mdada tafadhali

:twitch:Salamu kwa malaya woteeeeeeeeeeeeeee hasa wale wake za watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mimba zaidi zitakuja hapa! Hata HIV hamwogopi jamani? Ndo sema waume zenu hawawakuni ipasavyo au? Tamaa zenu ndo kaburi lenu!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S 20:

Mhhhhhh na wewe yakikufika utarudi humuhumu jf, usimhukumu binadamu mwenzio
 
mapenzi hayana usiri kabisaaa
mtaficha sana input, output lazima zitoe kishindo
dawa ni kumweka bibie mke mwenza
 
Wana JF napenda kuwataarifu kuwa baada ya comments zenu kumfikia yule dada alikwenda hosipitali kubwa kama mmoja wetu alivyoshauri lakini aliambiwa hawezi kufanyiwa abortion mpaka apige ultura sound baada ya matokeo kwa ushauri wa dakitari aliambiwa mimba itolewe kwasabu imetunga nje ya tumbo la uzazi.

Anawashukuruni sana kwa msaada wenu maana imemsaidia kufika hospitali na kugundua hilo tatizo.

Mungu awabariki sana.

Zaburi 6 msitari wa 1-10. Muwe na asubuhi njema
 
Akitoka hospitali mwambie aje humu asome sheria mama za Infii hayata mkuta tena yalio mkuta!
 
Hiyo ndiyo best penalt kwa wanaocheat!! Pregnancy???? Inamaana kwa asilimia 100 walikua wanaenda pekupeku??? Problem inawezekana siyo mimba peke yake, possibly ameshakanyaga miwaya pia. Mshauri akacheki na ikiwezekana amweleze mume wake!!!
 
Sasa atulie kwenye ndoa yake!..hilo jamaa linalomsumbua aliitie polisi bladibastadi!
Ikiwezekana amfuate mumewe abroad..japo nafsi itamsuta siku zote za maisha yake kuhusu hiyo mimba!..maisha yaendelee lakini!!
 
BJ bwana ushauri umetulia kweli nimeupenda dear
 
Ndoa yake si muhimu kama mtoto, kwa sababu ingekuwa muhimu asinge-cheat na kama alikuwa hataki mtoto angetumia kinga. So azae tu, kisha maisha yaendelee. Mumewe anaweza kumsamehe pia kama hajaokota na wadudu wengine.
 
<br /> girlie ushauri wako mzuri ila umechelewa
<br />
 
:mimba::mimba::mimba:

Insanity is doing the same thing again and again, and then somehow do expect different results!
:biggrin1::biggrin1:😛ound:😛ound:
:mimba::mimba::A S 103::A S 103:

$%^**&*&^*^%%>>>>>...%(&*%$%()+_+__)*....????????????:smow::sick::sick:

Akitoka hospitali mwambie aje humu asome sheria mama za Infii hayata mkuta tena yalio mkuta!
:tonguez::tonguez::tonguez:

Mie sio kuwadi Kimey taratibu eehhh
:A S 103::A S 103::A S 103:

Babu ameshindwa cha kukomenti kabisaaaaaa!

Kwa hiyo mimba ishatolewa kwa kuwa mtoto alikuwa nje ya KIZAZI..... Hapa binadamu kwa ujinga wake anafanya mauaji na anayahalalisha kwa kisingizio cha mimba nje ya Uzazi...... Pambafu sana nyie!

Ya Kwelli kabisa Baba_Enock hii kitu uloandika hapa:

Insanity is doing the same thing again and again, and then somehow do expect different results!
 
Hacheni kuzungusha mambo,chakifanya apigemzigo chini maisha yasonge.
 
duuuuh!Hiyo kali!
 
<br />
<br />
Jamaa we mchokozi sana
 
Hapo kazi kwake,hiyo ndo faida ya udanganyifu.kutoa mimba ni dhambi nyingine tena,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…