Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Subiria hapohapo wanakuja
Unataka kufungua yawe website?Siwaoni kabisa mkuu, Wewe mwenyewe anza kutirika aise!
Ndiyo mkuu, ila nashindwa namna ya kuifungua!Unataka kufungua yawe website?
Kama unaweza nisaidia nicheki hapa mkuu, Ant-snake@snakebite.com au hapa Dark-web@cyber-wizard.com nikupe hata posho ya k-vant mkuu.Unataka kufungua yawe website?
Upload vizuri hilo file.Habari za humu wakuu!
Naomba kufunzwa namna haya mafile yanavyo funguliwa mpaka kuwa website kabisa, maana nime furukuta nimeshindwa, naomba step by step nielekezwe aise.
File lenyewe kama hili hapa Drcare.zip
Asantaneni sana
Niliiipata hapa mkuu, colorlib.com/wp/template/drcareUpload vizuri hilo file.
Mkuu hio ni template ya wordpress, unahitaji kuwa na website ya wordpress kwanza ndio u upload hilo file.Niliiipata hapa mkuu, colorlib.com/wp/template/drcare
sasa hyo nilikuwa nimeipenda sana, nashindwa steps namna ya kuipeleka kuwa website ili niitumie with free plan,
Asante
Hapana mkuu, ndo kabisa naazaaaMkuu hio ni template ya wordpress, unahitaji kuwa na website ya wordpress kwanza ndio u upload hilo file.
Uma hosting tayari?
1. Unanunua hostingNipe utaratibu mkuu, ili niazie wapi?
asante mkuu!1. Unanunua hosting
2. Unanunua jina
3. Unainstall hio wordpress, mara nyingi process inakuwa auto kila kitu kinajifanya chenyewe (tegemea na hosting provider)
4. Unainstall hio template yako.
Kwakua unaanza hosting ya bei rahisi utaipata hapa
http://www.nosupportlinuxhosting.com
Jina la bei rahisi hapa
https://www.godaddy.com/domains/domain-name-search