Kuna mtu anataka kuongeza jina ambalo halipo kwenye vyeti vyake vya shule. Hii anataka kuifanya kwenye ajira baada ya kugundua kuna mtu wako idara moja na majina yao ni yale yale.Ana birth certificate aliyoichukua kama miaka kumi iliyopita.inawezekana? Afate hatua zipi?