Msaada wako unahitajika hapa

Msaada wako unahitajika hapa

Joined
Aug 19, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Ni kijana wa miaka 20,pia ni muumini mkubwa wa mazoezi ya viungo hususani mpira wa miguu, tatizo langu ni damu huwa inachanganyika na manii wakati wa kujamiana lakini nikikojoa mkojo huwa unatoka bila hata chembe ya damu na pia huwa sihisi maumivu hata kidogo, naomba kujua chanzo cha tatizo na tiba yake.
 
mh!!hichi kizaz kipya kina mambo!!!punguza kupga tubeless jarib kuvaa vifanyio uone itakuwaje,ila subir wataalam wanakuja
 
Kwahiyo madaktari humu ndani ndio tuseme mumekataa kunisaidia au?, maana muko kimya.
 
Back
Top Bottom