Ni kijana wa miaka 20,pia ni muumini mkubwa wa mazoezi ya viungo hususani mpira wa miguu, tatizo langu ni damu huwa inachanganyika na manii wakati wa kujamiana lakini nikikojoa mkojo huwa unatoka bila hata chembe ya damu na pia huwa sihisi maumivu hata kidogo, naomba kujua chanzo cha tatizo na tiba yake.