Msaada wako unahitajika

Msaada wako unahitajika

kindikwili

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
1,862
Reaction score
2,875
Habarini za majukumu ndugu zangu wana jukwaa. Napenda kuwashukuru wana JF wote wanaotoa mawazo chanya juu ya matatizo ya Watanzania wenzao ambao kwakweli wanakuwa wanahitaji msaada.
Baada ya shukrani hizi naombeni ushauri kwa mambo yafuatayo
1. Mara nyingi nikifanya mapenzi nikimaliza kichwa kinaniuma siku nzima
2. Nina tatizo la hisia kabisa yaani siwezi kuhisi hata mtu akinitekenya popote mfn kwapani au sehemu nyingine ya mwili. Hata akitokea niko na shemeji yenu nasimamisha pale tu akili itakapoamua na si kwa yeye kushika popote ndani ya mwili wangu. Hata ashike wapi kama akili haijaamua siwezi kusimamisha.
3.Nikipiga bao moja naweza kutumia hadi masaa 5-8 kusimamisha tena , na hata nikifanikiwa kuanza shughuli ya bao la pili mashine inaweza kukosa nguvu katika dk ya 15 au 20 ya tendo bila kuachia bao.
NB. NIKIANZA TENDO NAWEZA TUMIA DK 10-20 KUACHIA BAO LA KWANZA
-Sijawahi kabisa kupiga punyeto toka nimezaliwa hadi umri huu wa miaka 29, sinywi pombe wala sigara. Japo kwasasa naishi dsm ila nimekulia kijijini kwa sehemu kubwa ukiacha maisha ya sekondari na chuo kwahiyo issue ya chipsi, kuku wa kisasa na sembe sijakulia kabisa

HAPA NINA TATIZO GANI, NA JE NAWEZA KUFANYAJE KURUDIA HALI YA KAWAIDA?
Ushauri wako waweza kuwa tiba kwa ajili yangu, maana naamini tumeumbwa kwa ajili ya kutatua matatizo ya wengine. Aksanteni sana na Mungu awabariki sana
 
Back
Top Bottom