msaada wako unahitajika

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
68
Wana JF habarini za majukum? Mie mwenzenu niko njia panda nahitaji msaada wenu wa mawazo nataka kununua gari je kuagiza kati ya Dubai na Japan wapi kuna unafuu kwa maana ya kupata gari nzuri na unafuu wa bei pia, kama kuna mtu anafaham link za kuziamini kwa wauzaji wa magari Dubai naomba mnisaidie.

Shukrani ndugu zangu
 
tradecarview wana range kubwa sababu wauzaji wengi wanawakilishwa pale. plus wana system nzuri na safe kabisa. google them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…