BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, kuna mzungu alitokea kunipenda
Ulijuaje kama anakupenda? Alikuambia anakupenda, au alikuonyesha anakupenda?
Tatizo nyie data zetu hamjui tofauti ya mtu kukwambia anakupenda na kukuonyesha anakupenda. Huyo mzungu amekuambia anakupenda, lakini hakuonyeshi kama anakupenda.
Embu fungueni macho na nyie muone. Sasa hapo unataka ushauri gani?
Tatizo kubwa ni kwamba, unataka uambiwe kitu unachotaka kusikia, lakini ukweli unaujua mwenyewe, na hata sisi tunaujua pia.
ukiona zeru zeru halieleweki, tafuta mmasai mwenzio mgawane ng'ombe
ukiona zeru zeru halieleweki, tafuta mmasai mwenzio mgawane ng'ombe
😛lane:
Ulijuaje kama anakupenda? Alikuambia anakupenda, au alikuonyesha anakupenda?
Tatizo nyie data zetu hamjui tofauti ya mtu kukwambia anakupenda na kukuonyesha anakupenda. Huyo mzungu amekuambia anakupenda, lakini hakuonyeshi kama anakupenda.
Embu fungueni macho na nyie muone. Sasa hapo unataka ushauri gani?
Tatizo kubwa ni kwamba, unataka uambiwe kitu unachotaka kusikia, lakini ukweli unaujua mwenyewe, na hata sisi tunaujua pia.
ndo manake..mambo ya kutema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa ni mabaya!!
...hehehe, huu ni msemo mpya unaoshika kasi humu JF, inabidi niutafutie 'kamusi' yake. :A S-coffee:
heheheh unaelekea wapi?
naenda tafuta zeruzeru na mie....huo ndio usafiri wake
:A S 103: :A S 101: :A S 41: :wave:
hehehe ukiwapeleka spidi wanapandisha shetani! habari ndio hiyolakini nina wasiwasi.....nasikia mziki wao ni wakipolepole na sisi waswahili unajua tena...
hehehe ukiwapeleka spidi wanapandisha shetani! habari ndio hiyo
unanihakikishia kuwa hakutakuwa na kesi ya mauaji?
Utamsaidiaje huyu binti?...
NIACHANE NA HUYU MZUNGU?
Naomba wadau wanisaidie kwa ushauri,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, kuna mzungu alitokea kunipenda na tukawa tunawasiliana kwa internet tu kwani yupo mbali na mimi, urafiki wetu umekuwa ni wa muda mrefu, kiasi kwamba tumetokea kuzoeana sana na kuambizana kila kitu, ahadi ni nyingi alikuwa ameziweka kwangu ikiwemo ahadi ya kunioa, ni mtu wa kusafiri mara kwa mara na ikitokea amepata safari yoyote ya Africa huwa ananitumia Ticket namfuata.
Tatizo langu ni kwamba kila tunapoonana hapendi kuongelea swala lolote la ndoa na pia sijawahi kumwomba hata hela na huwa ananipa kiasi ambacho hakikidhi hata mahitaji yangu ya siku, nimekuwa naumia mwenyewerohoni nikiamini ladba ananipima ajue mimi ni mtu wa aina gani.
Niliporudi TZ last week nikapata tatizo ikabidi nimwombe some amount ili niweze kusolve tatizo langu, nilipomtumia email hakunijibu, na tangu siku hiyo hanipigii simu wala haniandikii tena email kama mwanzo.
Wadau wote naomba ushauri wenu.