pole sana nafikiri hii ni kazi ya serikali katika kusaidi watu kama awa kwa kutoa elimu ya juu bure, ila tuombe mora nitakupunguzia elfu ishirini japo aitosaidia
pole sanaaa, kuna baazi ya watu nawajua wanasoma nchini under japan embassy, so nitawauliza ili nipate kujua huo ndo msaada wangu kwako, nimejaribu iyo namba upatikani