wacha kutisha watu eti Open unamaliza miaka 10 wakati imepigwa Llb miaka 3 net na watu tuko job! Mwache mtu aende mambo yamebadilika sana Pale Out.Kama imeajiriwa customs tra ninakushauri usome postgraduate ya tax administration,ukisoma post ya sheria haitakusaidia kabisa!na pia sheria ni nzuri ukiisomea undergraduate!pia open unaweza jikuta unamaliza miaka kumi huja gradute.ni hayo tu mdogo wangu
kama umeipenda kwa dhati kabisa utaiweza na wala haitakusumbua. Lakini nakushauri angalia kazi yako unayofanya ifanane na hicho utakachosoma kwani hayo ndio mambo yanayoweza kukupa wewe ueleo zaidi na hata promotion unapomaliza.kwa heshima nawasalimu ,mimi ni graduate wa economics na nimeajiriwa TRA CUSTOMS ,nilipata admission ya MA ECON pale ud lakini ghafula nikahamishiwa mkoani.sa ishu nayoomba mnishauri mdogowenu ni kuwa nataka nisome POSTGRADUATE YA LAW open university ,naomba mnishauri ni uamuzi ni ,na kwa wataalamu wa law je inakuwaje nitapitia challenge zipi,je haitanisumbua kwa kuwa na background poor ya sheria,asanteni
ukiwa na malengo ya kusoma ili upate pesa, sijui promotion, good housing, allowances nk hutaenda popote. nakuapia. hapa ndo tunapata mafisadi wa hali ya juu wanayoimaliza nchi, wanafilisi makampuni kwa kupora mali bila hata aibu. lakini ukiwa na passion na unachotaka kusoma kwa malengo ya kunufaisha umma na kuboresha nchi then be proud of it and go for it. nadhani licha ya kazi unazozifanya kwa sasa utakuwa flexible enough kuisaidia TRA kupambana na mafisadi kupitia taaluma yako mpya na hata kama ni promotion utaipata bila kukusudia. dunia ya leo inahitaji watu wenye taaluma nyingi wanaoweza kufanya kazi mbalimbali kwenye makampuni. mfano, mimi ni Biomedical Engineer lakini nilipokuwa kazini niligundua ninatumika sana katika mambo ya ICT hivyo ilinibidi nirudi chuoni on a full scholarship kuchukua degree ya ICT na niko mbioni kumaliza. ninatarjia baada ya hapa kuchukua Msc. Computer science. kuwa na background poor ya sheria sio tija ilimuradi uko na passion ya law. you will find it very easy as time goes by.kwa heshima nawasalimu ,mimi ni graduate wa economics na nimeajiriwa TRA CUSTOMS ,nilipata admission ya MA ECON pale ud lakini ghafula nikahamishiwa mkoani.sa ishu nayoomba mnishauri mdogowenu ni kuwa nataka nisome POSTGRADUATE YA LAW open university ,naomba mnishauri ni uamuzi ni ,na kwa wataalamu wa law je inakuwaje nitapitia challenge zipi,je haitanisumbua kwa kuwa na background poor ya sheria,asanteni