white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Nenda AAAR Hospital kipimo sh.15,000 kama haijabadilika muda wa kusubiri majibu ni dk 20. Pole.
Inachukua kama lisaa kufanya vipimo kwa njia ya ngozi, kwa kupima damu itakua siku kadhaa kutegemea na wanaofanya kazi maabara.
Asante Lizzy, mi nilifanyiwa ya ngozi nilisubiri kwa muda wa dk 20 tu nikapewa majibu au walinichakachua?
hilo nalo neno mkuu,kwani wanaweza mwambia alergy yake ipo pale anapofanya mapenzi!c utakuwa mtihani.Hata ya damu si lazima yachukuwe siku kadhaa.
Ushauri wangu ni kuwa unaweza ukaambiwa una allergy ya vitu kaa 50 hivi, sasa usijilazimishe kuacha na na vyote. Angalia vyenye adthari kubwa sana tu