dodoso33 Member Joined Oct 9, 2012 Posts 38 Reaction score 11 Oct 16, 2012 #1 mbona na jaribu kuappeal lakini nashindwa inaniandika nimeshakuwa already registerd mwenye uwelewa katika hili msaada jamani anipe procedure za kulipia mpaka kumaliza wapi pakuanza na wapi pakumalizia natanguliza shukrani zangu wakubwa
mbona na jaribu kuappeal lakini nashindwa inaniandika nimeshakuwa already registerd mwenye uwelewa katika hili msaada jamani anipe procedure za kulipia mpaka kumaliza wapi pakuanza na wapi pakumalizia natanguliza shukrani zangu wakubwa
Prof Gamba JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 390 Reaction score 266 Oct 16, 2012 #2 Kwa maelezo yako mimi nimetoka mweupe kabisaa! Hasa hueleweki unataka msaada kwenye nini! Dadavua kidogo ueleweke.
Kwa maelezo yako mimi nimetoka mweupe kabisaa! Hasa hueleweki unataka msaada kwenye nini! Dadavua kidogo ueleweke.
dodoso33 Member Joined Oct 9, 2012 Posts 38 Reaction score 11 Oct 16, 2012 Thread starter #3 nipe mchakato mzima wa kujaza form za kuappeal online