Msaada wakubwa

Msaada wakubwa

chotarasukari

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
110
Reaction score
23
heshima yenu wakubwa,,
Mimi nimehitimu kidato cha nne na kupata
Math-F
Geo-F
Kisw-D
Eng-D
Hist-D
Civ-D
Phy-D
Chem-D
Bios-C
Naweza kusoma Computer engineering & Networking bila shida yoyote au ni vizuri nisome nini..
Shukrani na ninategemea msaada wenu.
 
ukiji evaluate uwezo wako wa kuhifadhi taaluma kichwani kinadharia na kivitendo je unaona hayo matokeo yako ni sahihi kutokana na uwezo wako? Kama ni matokeo sahihi kulingana na uwezo wako usidhubutu kusoma computer engineering. Jaribu labda fani za computer applications, IT/ information system, n.k
 
kiukweli matokeo hayakuonyesha mwisho wa uwezo wangu kwani na uwezo mkubwa wa kuweza kukazana kwa kile nitakacho soma japo napenda PC Engineering.. Je alama hizo naweza somea hicho kitengo?
 
Hizo alama inabidi uzipandishe juu especially ,Chem, Math na Physics. Labda rudia mitihani(esp. chem,math & Phy) ili uweze kukubalika na vyuo vya kueleweka(uanzie diploma) au ukubalike A level (PCM) halafu ufaulu form 6, halafu uende University.
 
And this's important for the future.....kuna vyuo vingi ambavyo vipo kibizinez zaidi....they can enroll him/her for certificate course!! Lakini baadae atakapotaka ku-further maujuzi kupitia respected/accredited institutions, atagonga mwamba! chotarasukari, kama unai-feel kwelikweli Computer Engineering, na unaitaka kiukweli ukweli na sio kimagumashi....na kama unazani una uwezo wa kupandisha mambo sema tu paper ilikupitia angle mbaya, then the best solution ni kama alivyokushauri andate. Pandisha hizo pass zake....it doesn't make any sense u-dream kuwa Computer Engineer with "F" in Mathematics!! Zi-update hizo pass za PCM, especially Physics and Mathematics, if you're determined, you can make it!! Ukiwa determined, kufaulu maths ni rahisi!! I guess you're below 20, so bado una muda wa kutosha....don't rush!
 
Last edited by a moderator:
You can turn around anything if you want to!
Kuna binti alipata div 0 form four. Akaenda kusoma five wakati anareseat. Akapata div 2. Sasa hivi ana masters yake. Kuna mwingine alipatabfour mbovu (kalikuwa katoto kashkaji tu), mama yangu akamfadhili ualimu certificate. Sasa hivi ana digrii, kaachana na ualimu na ana hadi gari.

Cha muhimu ujue unachotaka na ujisimamie kukipata. Ingia form 5 kwanza. Kata shule na uhakikishe this time around unakuwa makini na kufaulu. Kila la kheri.
 
kama nikisoma collage kwa ufaulu huu siwezi pata future nzuri especial nikitaka ongeza skills kwenye vyuo bora kabisa?? kuna rafiki yangu anasoma IT UCC mwz campus na hakusoma Science na yuko diploma sasa huwa najiuliza aliwezaje wakati alipata Div 4-31!!?
 
We hyo kitu hutaiweza kwa matokeo hayo.nakushauri kasomee ualimu au masuala ya kilimo na ufugaji.over
 
sita iweza kwa sababu matokeo hayaruhusu au mie sina uwezo wa kuisoma hii kitu?
 
kama nikisoma collage kwa ufaulu huu siwezi pata future nzuri especial nikitaka ongeza skills kwenye vyuo bora kabisa?? kuna rafiki yangu anasoma IT UCC mwz campus na hakusoma Science na yuko diploma sasa huwa najiuliza aliwezaje wakati alipata Div 4-31!!?
Kwanza jaribu kutofautisha kati ya UCC na UDSM.....wengi hapa wanashindwa kutofautisha!! UCC wapo kibiashara ifo UDSM. Kama UCC unaiweka katika kundi la vyuo bora, then hata kwa hizo pass zako unaweza kusoma pale Certificate na kupata Diploma!!

Tatizo ni after hiyo Diploma....sio kwamba moja kwa moja huwezi kuwa na sifa za ku-join vyuo kama UDSM au DIT...unaweza lakini priority watapewa wale ambao hata kama nao hawakupitia A-Level, lakini wamefaulu Maths..!! Hiyo "F|" ya Maths kwako ni doa ambalo litaendelea kukuandama kwenye nyanja ya elimu ya juu!
 
Hapo nimekuelewa vizuri kumbe tatizo ni F ya Math basi itabidi nifanye mtihani tena. je naweza rudia mitihani 2 yani Math na Geograph tu?
 
Suala la masomo mangapi urudie, ni uamuzi wako so; krudia masomo mawili ni pocbo vilevile....jamno la kuzingatia ni uhakika wa kufaulu somo ambalo unataka kurudia na umuhimu wa somo lenyewe kwenye malengo yako ya baadae.
 
Asante sana kiongozi nimekuelewa vizuri na nitarudia mitiani 2 geo na math ili malengo yangu yawe poa. natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom