Re: Ms aada waKuagiza Electronics Kutoa Nje ya Nchi.
Huu uzi wakao ni wa siku nyingi sijui unaendelea je? Hata hivyo kwenye dunia ya leo unaweza kupata taarifa hizo kwenye mitandao, ingawaje humopia matapeli wamo. Kuhusu laptops, hebu ingia kwenye website ya usnotebooks.com. Hawa wanazo refurbished / reconditioned laptops. Ukiingia tu wanayo maelekezo mazuri namna mnavyoweza kufanya nao hiyo biashara.
Changamka mwana jf!