Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iv kama unabachelor ya nursing unaweza kuingia MD?
Unaweza as long as ulisoma chemistry ama physics zamani na ina credit.
Japokuwa natamani ungeniomba ushauri nikakuambia jitaftie masters ya public health. Utapata chance ya kuendelea kufanya mambo ya afya huku ukivuta hela ndefu bila stress za jk.
Hiyo kitu nawish sana nisomee, MpH aaagh ngoja nimalize shamba langu kwanza
King'ast ivi hiyo MpH ni kwa wenye bachelors za md & nursing pekee? Mir nilisoma zamaaani bsc in zoology