Mgonjwa wa mafigo ameambiwa mafigo yote yameshaharibika, njia pekee nikupata mtu kumpa moja.
Hivi sasa anasafishwa damu kila baada ya siku mbili tatu.
Jana kuna msaada wowote wa dawa za kiasili? matunda? Zinaweza kumsaidia huyu mgonjwa? Maana spitali ndio washafika mwisho.
Huu ni ushauri mzuri wa kuzingatia. Figo miongoni mwa kazi zake ni kuchuja sumu, tayari figo hazifanyi kazi halafu umuongezee madawa ya kienyeji mgonjwa ambayo hutolewa pasi kuangalia dozi maridhawa, side effects na hata kemikali nyinginezo zilizomo ndani yake.dawa za asili zenyewe zinaua figo zaidi!
Hapo hakuna muujiza ni either lazima afanye Kidney replacement therapy kwa dialysis au afanyiwe transplant!
Na MNH wameanza kutoa hii huduma