donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salaam wakuu,
kwa kifupi bila kupoteza muda naomba kuuliza means mtu anazotumia kujilipa kile akipatacho cha ziada (profit) kwenye biashara, au ni njia ipi bora wakuu? kwa mfano kama nikifungua ka grocery, je faida ndio ninayokula ama unajiwekea mshara (fixed cost), kwamba hata kama biashara haikwenda sawa badp nitajilipa kiasi nilichojiwekea? naomba msaada wenu wakuu ambao tayari mna uzoefu kwa swala la ujasiriamali.
out of topic wakuu,
kwa mtaji wa Tshs.10M kwa hapa dar ni biashara ipi yenye low risk ambayo mtu unaweza ukaifanya na ukajipatia nawe ka kipato chako??