mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Jamani kuna hivi vitu vinafanana na sukari ni nyeupe sanaa. Nimeshaona aina tatu sasa tofauti ni ladha zake..
Ya kwanza ina ladha ya utamu kama sukari na ninaambiwa inatumika kwenye juice au barafu.
Ya pili ina ladha ya uchachu kama limau au ndimu hivi dukani inaitwa ndimu ya unga..
Ya tatu ni yenye ladha siwezi sema ni chungu ila siipati vizuri ladha yake.. Naambiwa inawekwa kwenye nyama jina lake Ajino Moto.
Naomba kuelezwa inavyotumika katika vyakula mbalimbali.. Wataalam @Da Fakhrina na wengine. Asalaam aleikum..... njooni mtoe maujanja.
Natumai mkipata chance mtauona huu uzi..