mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Na hiyp ndimu ya unga pia haina maana tumia ndimu za kawaida me hiyo ndimu ya unga huwezi amini tulikua tunasafishia tiles za jikoni just jaalia unaitia tumboni itakuaje?.........
hata ndimu ya kawaida inaweza kusafishia tiles vizuri tu, doesnt make a difference..
usitishe watu kuogopa everything artificial, ni sawa na anayechukua coke anaweka inacorrode kitu afu anasema imagine tumboni ikoje... tumboni kuna conditions tofauti kabisa na external environment
Hata ndimu ya unga sio nzuri sisi twAsafishia tiles au tarazo. farkhina hio ajinamoto mie hata nlikua sijui km ina nadhara asante kwa kurujuza maana nshaitumia sana kwenye nyama
Jamani ninatamani kuicopy hii post kule kwa madaktari ...nashindwa.. Natumia simu..
Its not a fact, its simply a guess, n u can't even prove ur statement zaidi ya kusema inafanya kitu flani outside the body... kitu ambacho kinakua consumed na binadamu hasa hivi vyenye chemicals najua process nzima hadi vinavokua approved for consumer usage, usidhani ni rahisi rahisi tu anything harmful kikawa approved na kikaendelea kuwepo muda mrefu bila kupigwa stop...Dude sio kutisha its a fact kama hukubaliani nami siwezi kukulazimisha
thank uits not a fact, its simply a guess, n u can't even
prove ur statement zaidi ya kusema inafanya
kitu flani outside the body... kitu ambacho
kinakua consumed na binadamu hasa hivi vye
nye
chemicals najua process nzima hadi vinavokua
approved for consumer usage, usidhani ni rahisi
rahisi tu anything harmful kikawa approved na
kikaendelea kuwepo muda mrefu bila kupigwa
stop...
Mkuu nini shida? Tumia ndimu za kawaida na limao zinatosha.Kwa hiyo hizi ndimu za unga hazina madhara yyte maana watu wanaongea mengi kuwa zinapunguza nguvu za kiume??? Naomba kujua