Wakuu naomba msaada wenu kwa watu wanaojua process zote za kuomba mikopo katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa sababu ninatatizwa na kitu kimoja ambacho n kwamba unapomaliza kuijaza form hiyo unaidownload au unafanyaje na kama unaidownload unaituma kwa njia gani ukmalza kuijaza? Wakuu msaada wenu kama nahitaji msaada zaidi wakuu!