Msaada wakuu kupata kozi zenye nafasi ya kujiajiri na kuajiriwa

Joined
Mar 21, 2024
Posts
30
Reaction score
135
Wakuu Habari za Wakati, Kuna kijana kaniomba ushauri juu ya kipi akasome Veta, hasa long course. Kwa ufahamu na uelewa wangu nime mshauri ajaze kozi zifuatazo;
01. Designing, sewing and clothing technology
02. Electronics
03. Food technology.

Jinsi yake ni ke.
Ufaulu wake kidato Cha nne ni daraja four.

Na Mimi Naomba kuuliza, je kozi hizo zinamashiko ? Hasa katika angel ya kujiajiri na kuajiriwa
 
Tuma picha yake kwanza
 
Asome Electronics au Food Technology kwa kuwa ni binti

Akimaliza hawezi kukosa kazi na anaweza kujiajiri pia
 
Kozi ambazo veta zina ajira kwa mabinti ni ushonaji, food production, plumbing hizo akisoma mpaka diploma ameula! Umeme wamejaa sana
 
Back
Top Bottom