I LOVE YOU DUCE
Member
- Mar 21, 2024
- 30
- 135
ooh, napokea ushauri kaka, lengo dogo apate kozi nzuri.Kwanini asipambanie umeme wa magari au wa majumbani au plumbing.
Tuma picha yake kwanzaWakuu Habari za Wakati, Kuna kijana kaniomba ushauri juu ya kipi akasome Veta, hasa long course. Kwa ufahamu na uelewa wangu nime mshauri ajaze kozi zifuatazo;
01. Designing, sewing and clothing technology
02. Electronics
03. Food technology.
Jinsi yake ni ke.
Ufaulu wake kidato Cha nne ni daraja four.
Na Mimi Naomba kuuliza, je kozi hizo zinamashiko ? Hasa katika angel ya kujiajiri na kuajiriwa