Msaada Wakuu....Mdada Anaumwa Sana

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,151
Reaction score
2,162
Kuna Mdada Mdogo Anasumbuliwa na Tumbo kwa Muda Sana Japo ameshafanya vipimo na kunywa madawa mengi tu lakini hali yake sio nzuri....Kiufupi Alianza kua Anaishiwa Damu hasa akiingia MP zake hadi kuzimia pia akawa anatapika kila anachokula ata akinywa maji ataenda chooni tu.....Siku zikaenda japo na hospital hakukatika akaanza kua anajisaidia au kuharisha damu kilichotushangaza kuna Siku alitoa choo cha Nyama ikiwa na damudamu basi katika kukichunguza kikaanza kunuka sana hadi ikashindikana kukipeleka hospital kwa uchunguzi zaidi maana kilikua kinanuka km mzoga wenye sumu Kali sana.....Hivi ameletwa Bugando kwa uchunguzi zaidi na kunawakati mwingine anapata vidonda au michubuko kwenye vidole vya mikononi hadi kushika maji ni shida yani hatujui nini tatizo hasa....Mwenye experience na tatizo km hili tafadhali tunaomba ushauri
 
Poleni sana,nazani majibu ya hospitali yatakua msaada mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…