baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 119
Una umbo. Zuri kakaWadau mwenye ufahamu kwenye hili tatizo,nakoroma sana nikilala na hali hii siipendi sinywi pombe,siyo mnene,ila tatizo linanitesa kuna dawa au njia yoyote kupunguza tatizo hili pls nipo serious
Wadau mwenye ufahamu kwenye hili tatizo,nakoroma sana nikilala na hali hii siipendi sinywi pombe,siyo mnene,ila tatizo linanitesa kuna dawa au njia yoyote kupunguza tatizo hili pls nipo serious
Napata mrejesho kwa walio machoUmejuaje kuwa unakoroma?
Kwa hiyo unakoroma kumpita hata paka, hapo kwanza.Wadau mwenye ufahamu kwenye hili tatizo,nakoroma sana nikilala na hali hii siipendi sinywi pombe,siyo mnene,ila tatizo linanitesa kuna dawa au njia yoyote kupunguza tatizo hili pls nipo serious
Mimi nilisumbuliwa miaka mingi sana,na nilipitia kipindi ambacho kilinitesa sana.
Kipind napangiwa O level kwenda kusoma hapo ndio ukawa mtihani kwangu nitaenda kuishi vipi,maaana nilikuwa nakoroma kama SIMBA.
Nilikutana na jamaa mmoja akaniambia ili upone tatizo hili lakupasa ulale KIFUDIFUDI.
Alinisisitizia ni zoezi gumu sana kama mtu hukuzoea kulala hivyo,ila kama unataka kupona basi lala hivyo.
Sikuwa na jinsi na lengo lilikuwa kupona,basi nikaanza kulala hivyo lakini nilipitia changamoto kubwa sana,yaani unashangaa umegeuka na kuanza kukoroma.
Basi ikawa tunashinda nikigeuka na kwasababu ukikoroma huwa unasikia mwenyewe naamka haraka na kulala KIFUDIFUDI.
Mpaka leo hui nimezoea na kipindi narud likizo nyumban walistaajabu kuona SIKOROMI KABISA nipo walipokuwa wananiuliza ni nani aliokupa hii dawa.
NB:MKUU JARIBU KULALA KIFUDIFUDI UTAFANIKIWA KABISA.
Ni kero tena ukiwa ugenini ndo kabisaMiye ninalo hilo tatizo nilishajaribu njia nyingi mfano kuachama na kusukuma ulimi nje mara kadhaa lakini tatizo haliishi, wakati mwingine huwa naogopa hata kulala wakati wenzengu bado hawajalala kuepuka kuwakela
SawaPunguza kuuchosha sana mwili wakati wa mchana chief.
LinakeraHilo sio tatizo
Asante mkuu ngoja nijaribuMimi nilisumbuliwa miaka mingi sana,na nilipitia kipindi ambacho kilinitesa sana.
Kipind napangiwa O level kwenda kusoma hapo ndio ukawa mtihani kwangu nitaenda kuishi vipi,maaana nilikuwa nakoroma kama SIMBA.
Nilikutana na jamaa mmoja akaniambia ili upone tatizo hili lakupasa ulale KIFUDIFUDI.
Alinisisitizia ni zoezi gumu sana kama mtu hukuzoea kulala hivyo,ila kama unataka kupona basi lala hivyo.
Sikuwa na jinsi na lengo lilikuwa kupona,basi nikaanza kulala hivyo lakini nilipitia changamoto kubwa sana,yaani unashangaa umegeuka na kuanza kukoroma.
Basi ikawa tunashinda nikigeuka na kwasababu ukikoroma huwa unasikia mwenyewe naamka haraka na kulala KIFUDIFUDI.
Mpaka leo hui nimezoea na kipindi narud likizo nyumban walistaajabu kuona SIKOROMI KABISA nipo walipokuwa wananiuliza ni nani aliokupa hii dawa.
NB:MKUU JARIBU KULALA KIFUDIFUDI UTAFANIKIWA KABISA.
Simba anasubiriKwa hiyo unakoroma kumpita hata paka, hapo kwanza.
AsanteDuuuuh pole
Unasikia pale mwanzoniUkikoroma unajisikia? Utakuwa haujalala wewe