Msaada wakuu nifanyaje kwa matokeo haya

mudysquare

Member
Joined
May 6, 2012
Posts
82
Reaction score
12
Nina mdogo wangu ana pass ya 0.6 yaani ana C1,D1 na E4 sawa anangapi kwa mfumo Wa zamani achana na wasasa yaani ana division ngapi ya point ngapi, msaada
 
Duh! nahisi kama zamani hapa ana div IV ya 27 lakini bado somo moja hapo hujaliweka mjomba.
 
CivicsD, histryD, kiswC, englE, biosE, na mathF ndio hayo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…