Msaada wakuu, nimekamata SMS za mke wangu akichati na kijana mdogo mambo ya ajabu

Hii ni tatepa kwnza ungetuletea screenshot, afu pili uyo mkeo ni mjinga kiasi gani kuchat na kibentne wake nawe ukiwepo, tunakula sana wake za watu na huwa wanatupa ratiba vizuri, dogo nae ni mtot kiasi gani kuchat ovyo na mke wa mtu ,nawe una uvumilivu kiasi gani mkeo kuliwa nyuma bado upo nae apo
 
Sema ulivompita huyo dogo ukiwa na sime hapo me ndo umeniacha kaka.dogo hajawaza kbisa an na anakujua vzuri ww nd mume halali??

Ushauri ni bure... huyo sio mke tena kama nyuma imeharibika (fyucha)mbele yenu haiwezi kuwa salama.

Mizagamuo ya nyuma atafanya na nani sasa au umembakiza uwe unampoza ww?

Huna mke hapo kaka utajikuta unaingia sodoma na ww nd unakuwa wale wale laana kizazi ad kizazi pita hivi.lea watoto.
 
Mpaka muda huu ulitakiwa uwe umeshampiga chini shemeji kitambo sana uyo ni mfirwaji hawezi acha kufirwa uyo kashazoea kikubwa piga chini laana iyo
 
Basi hako kakijana kanapeleka moto kuliko wewe, pole sana ndo Malaya tulio nao hao..
 
Msiwege mnaoa
 
Hakuna ndoa iliyo salama Kwa Dunia ya Sasa,wake za watu wanajiachia sana na waume za watu Kwa kigezo Cha ujirani,kumbe nyuma ya pazia Kuna mambo yanayoendelea
 
Astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah

Pepo hili jamni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na we una mke
 
Comment yako nzuri sana
 
Wewe bado mdogo pia brother.

Unataka ushauri gani tena hapo brother.
Brother inamaana huoni Taa nyekundu brother.

Brother mbona unatudharausha kaka zako brother nenda kafukuze hiyo mwanamke brother.

Sijawahi kushauri mtu uwamuzi WA kumuacha mke wake brother lakini Kwa hili brother nenda kafukuze brother.

Jijenge kiakili brother jinsi ya kulea watoto wako brother.

Nimemaliza BROTHER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…