msaada wakuu,nimeulizwa ckuwa na jibu!!

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
kuna rafiki yangu,ameniuliza,yeye alifanya mtihani wa form 6 mala mbili,mala ya kwanza alifanya masomo yote 4(arts)akapata principle 1, na subsidiary 3 mwaka unaofata akarudia tena mtihani,akafanya masomo 3,akapata zote principles,na akafanikiwa kujiunga na elimu ya juu,sasa anauliza je akitaka hayo matokeo yake(kwani ana vyeti 2)anaweza akaenda baraza la mitihani wakamtengenezea cheti kimoja chenye matokeo hayo?kuliko kuwa na vyeti 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…