15 years? hujawahi kwenda hospital? Jaribu kufanya hivyo. Kuna mtu namfahamu alikuwa na tatizo linalofanana na hilo na mwisho wa siku wenye fani zao wakaja kugundua kuwa ana allergy na vitu vya baridi sana. It was a bit funny, ila pale tu alipoachaa kutumia vitu vyenye baridi (maji, matunda, ice cream etc), alipona kabisaaa. So, nenda hospital ukawaeleze historia ya tatizo lako.