Nunua condenser microphone ila wengine hutumia dynamic microphone inategemea na mzingira uliyopo. Binafsi natumia condenser microphone nilichukua kwa 110k ikiwa na audio adaptor japo situmii ajustutable adaptor ila narekodia chumbani na hakuna mzingira ya studio ni Meza, ukuta na kiti inatoa very clear sound uedit au usiedit hakuna background noise japo napenda kufanya compression ya audio na kuweka effect zingine kwa Adobe audition.
So nunua kama unaweza hiyo au option ya pili ila iwe sehemu tulivu Sana.
Usilogwe kutumia mic ya ndani ya pc otherwise huko serious.
Kuna software inaitwa wo-mic ukiwa na simu nzuri inaweza kuingiza sauti Safi ila nayo inahitaji mazingira tulivu as dynamic one.
Buy condenser microphone.
Natumia puluz condenser microphone
View attachment 2938698
Kuhusu camera tumia ya simu kama huna pesa ya camera pia nunua light ili kiwe na mwanga sehemu unayorekodia sikuizi bei chee unaagiza hivyo vitu vya msingi NB kama wewe ni mweusi Sana weka mwanga mkali [emoji3]