mnadhimu mkuu wa jf
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 759
- 285
Tafuta msaada wa kiroho au nenda hospitaliHiyo nadhani imesababishwa na hayo madawa ya uzazi wa mpango..Tafuta daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake akusaidie
????????Tafuta msaada wa kiroho au nenda hospitali
[emoji23][emoji23][emoji23] jf raha sanaa jamaa sijui kafanya makusudi kukuqoutes[emoji16]????????
Habari zenu wakuu,
Kama nilivyojieleza hapo juu kuna dada yangu mmoja ana hilo tatizo na hilo limeanza baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kabla alikuwa yupo sawa sawa na akafanikiwa kupata mtoto mmoja akiwa hajaolewa baada ya hapo akaanza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa miaka mitano ndipo kapata bwana hatimaye kaolewa na akaacha kutumia vidonge maana anahitaji kumzalia mmewe mtoto sasa tangu aache huu ni mwezi wa saba mfululizo hajawahi ona siku zake hata mara moja je tatizo laweza kuwa nini? Msaada tafadhalini.....
Yaani hata sijamsoma[emoji23][emoji23][emoji23] jf raha sanaa jamaa sijui kafanya makusudi kukuqoutes[emoji16]
Mmweeeee...!!!Zitaje cku zilizopotea tujaribu kukutafutia huku[emoji28][emoji28][emoji28]
Nenda hospitali ukawaone madaktari wa wanawake watakusaidia.Habari zenu wakuu,
Kama nilivyojieleza hapo juu kuna dada yangu mmoja ana hilo tatizo na hilo limeanza baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kabla alikuwa yupo sawa sawa na akafanikiwa kupata mtoto mmoja akiwa hajaolewa baada ya hapo akaanza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa miaka mitano ndipo kapata bwana hatimaye kaolewa na akaacha kutumia vidonge maana anahitaji kumzalia mmewe mtoto sasa tangu aache huu ni mwezi wa saba mfululizo hajawahi ona siku zake hata mara moja je tatizo laweza kuwa nini? Msaada tafadhalini.....
Te te te te nenda kaombewa mkuu...au hospital ukarejeshe siku zako[emoji12]????????
duhTe te te te nenda kaombewa mkuu...au hospital ukarejeshe siku zako[emoji12]
Msaada wa kiroho tena???? Kwamba kuna watu wameshikilia mayai yasitoke au na itakua majirani ety[emoji104]Tafuta msaada wa kiroho au nenda hospitali
Nimecheka sana. Hahahaha duh!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nimecheka sana. Hahahaha duh!!!