Msaada wakuu TCU

Albizo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
284
Reaction score
208
Nimefanya aplication tena kwenye simu ikakubali na wakati jina langu HALIPO kwa wanaotakiwa kurudia 2nd round ila kwenye computer buton ya apication haipo active,,,nisaidieni wakuu hapo inakuaje?
 
Cha msingi usi panic yaani amin kwamba applctn ni applctn! Alaf jaribu hata kwenye computer nyingne kwamana iyo simu usiitumie sana itaku cost
 
Nimefanya aplication tena kwenye simu ikakubali na wakati jina langu HALIPO kwa wanaotakiwa kurudia 2nd round ila kwenye computer buton ya apication haipo active,,,nisaidieni wakuu hapo inakuaje?

mi nlifanya kama wewe lakn acha itarud kama kama ,tumia simu clear application ya 2nd round
 
Nisaidieni namna ya kuclear iyo aplication ya 2nd round,,,
 
Just kwamba kama haupo kwenye ile list remove ile programe ulo ifanya ktk second round bcz ilikua ni system failure usijal mwenyew nilifanya kam ww bt ths time imerud profile yang ya mwanzo
 
Nilipochagua 2nd round profile yangu bado ipo vilevile course zote 5,,,ina maana haina shida?
 
Nilipochagua 2nd round profile yangu bado ipo vilevile course zote 5,,,ina maana haina shida?

Kama profile yako iko vile vile ka zamani basi nakushauri uiache ivo ivo na uwe na amani.
 
Nashukuruni kwa ushauri wenu...mbarikiwe
 
Iko hiv wali hide zile programe nyingne ali watu wasifanye editing bali waongez ili zitimie sita ila majority hawajafanya ivo so worr not kama ipo safi
 
Tatizo Vijana Mnaleta Utani na Maisha We Hyo Application yako ifanyie Ku2mia Computer n Ushauri2
 
Iko hiv wali hide zile programe nyingne ali watu wasifanye editing bali waongez ili zitimie sita ila majority hawajafanya ivo so worr not kama ipo safi

nan kakwambia? Mbona wapo walioongeza bt system ilpokaa sawa zlbak zile tano zilezile

kajipange usiige kisa umeona mtu kaandika hvo na ww ukaiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…