Nashukuru Sana kiongozi, tupo Dar na nitafanyia kazi ushauri wakoMpo wapi, ushauri wangu apelekwe hospitali kubwa kama Muhimbili au hospitali atakayoweza kufanyiwa gynae-ultrasound, majibu apelekewe daktari bingwa wa maswala ya uzazi, aaumue cha kufanya.
Ultra sound na TAH ni vipimo tofauti sio? Maana alishafanyiwa hiyo Ultra sound ila hiyo TAH sijaijuaMpeleken hospital kubwa a afanyiwe ultra sound if possible afanyiwe TAH
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Ukimpeleka Hospitali akitibiwa na hajapona nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona.Poleni Sana kwa majukumu ya kujenga Taifa..
Mzazi wangu Wa kike (Mama) umri kiaka 50s anasumbuliwa na uvimbe kwenye kizazi according to vipimo vya madakari.
Aliandikiwa dawa na anakaribia kuzimaliza, hofu ni kwamba tumbo lake linavimba na anasikia vichomi.
Nawaomba wakuu, Mnipe ushauri Wa kidaktari juu ya nini kifanyike kwa hali Kama hii..
Mungu awe nanyi