Msaada wakuu wale wanunuzi wa bidhaa kupitia kikuu kujeni hapa mnijuze hili.

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,503
Reaction score
2,426
Binafsi sikua Niki ifahamu kikuu sasa majuzi kati nimeifahamu na bidhaa pia lakini pia bei zake nazo ni cheap mno. Sasa nimehitaji kununua bidhaa shida yangu ni kwamba sie wa mikoani kuna uhakika wa kupata bidhaa baada ya kulipa online?? Mtupe procedure sie tusio fahamu, Tafadhalini issue ni serious tuweke joke pembeni waelewa na wenye busara watajibu pasipo Shari wala mikanganyiko ASANTENI.
 
Upo mkoa upi???

Ukiwa katika mikoa waliyo iainisha delivery ni bure. Kama upo nje ya Beam yao nadhani unaweza ingia gharama za uagizaji mizigo
 
Upo mkoa upi???

Ukiwa katika mikoa waliyo iainisha delivery ni bure. Kama upo nje ya Beam yao nadhani unaweza ingia gharama za uagizaji mizigo
Nipo mkoani ruvuma nayo imeainishwa kwenye orodha
 
Wanakuletea hadi ulipo coz wanakupigia simu kwenye namba uliyoweka hapo kwenye profile mm nimewah agiza vitu mara tatu nikaletewa hadi nilipo mara ya kwanza nilikuwa mbeya mara ya pili na ya tatu nilikuwa moshi ila kama upo nje sana ya mji wa sehem waliyoandika watakwambia ukafuate mjini ila kama ni.karb wanaleta kwa pikipiki maana wanamawakala wao
 
Asante sana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…