Shukran🙏🙏🙏Huwezi mkuu, hio 95mb inakuwa ni Apk na hio 1024mb zinakuwa ni data.
Kwenye data ndio kunakuwa na picha, sauti, video, graphics mbalimbali etc. Sema kuna ambao wanaweza kuzipunguza hizo data ikawa kama 95mb apk na data 300mb ama 500mb wanafanya hivyo kwa kutoa texture za resolution kubwa, kutoa sauti za lugha zisizo kingereza etc.
Shukran piaHilo faili kubwa ni data and of course ndo gemu lenyewe so unafaa ulionganishe na hiyo apk ili ucheze gemu....Uki-instal apk pekee bila kuhusisha data tegemea hii statement "This app needs additional contents from playstore" na ndoto zako zitaishia hapo..