Kipis
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 501
- 79
Nina tatizo ambalo lina muda mrefu takribani miaka 32 sasa. Nakumbuka hili tatizo lilinianza wakati nipo primary school. Siku moja wakati nipo home nafanya home work,ghafla nilijisikia baridi kali na moja ya kokwa yangu imevimba. Nilihisi kuwa na maumivu makali sana,lakini hayo maumivu hayakuendelea zaidi. Baada ya hapo,hakuna hatua yoyote ambayo niliichukua kwani hata wazazi wangu sikuweza kuwaambia kutokana na hiyo hali.kadri siku zilipozidi kwenda.na ndipo mabadiriko ya sehemu zangu za sili yalipokua yanatokea. Uume ulianza kuvutwa kwa ndani [kufupishwa] na kokwa [peke] kuwa ndefu na kujaa.mpaka hivi leo uume wangu,una wastani wa urefu wa inch 1.5 Ukiwa umelala na ukisimama ni wastani wa inch 2.5. Unene ni wastani cm 1.5=15mm. Naomba mawazo yenu nifanye nini ili niondokane na hii hali ya kuwa na uume mdogo pamoja na kushuka kwa kokwa zangu? maana hata tendo la ndoa silifurahii kwani ninapokuwa kwenye hilo tendo na shemeji yenu akikohowa tu uume unachomoka.nitashukuru kwa mchango wenu wa mawazo.