kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 May 18, 2012 #1 Mwenye nyumba wangu amenipa notis ya mwezi mmoja na notis yenyewe iko km barua ambayo anataka nisaini, sheria ya kupanga inasemaje wakuu, naomba msaada
Mwenye nyumba wangu amenipa notis ya mwezi mmoja na notis yenyewe iko km barua ambayo anataka nisaini, sheria ya kupanga inasemaje wakuu, naomba msaada