Duh pole mkuu nilikua na tatizo kama lako kipindi nilivo hamia tu dar ila nilikuja gundua ni kutokana na kubadilisha mazingira sababu nilipokuwa natoka ni baridi sana na dar nijoto.kingine kama una fuga nywele unyoe kwani mi nilifanya hivyo sababu kichwa kilikua kinawasha sana nikaamua kupiga shortcutting na hadi leo ndio style yangu.
Mwisho kuna nguo flani hivi kama zile zenye material ya plastics hutakiwi kuvaa kabisa,vaa nguo nyepesi na ambazo zinapitisha hewa vizuri na pia unatakiwa kunywa maji mengi kadiri uwezavyo.
AMANI YA BWANA IWE NAWE...