Msaada wakuu

Msaada wakuu

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,784
Poleni na majukumu wakuu.

Ndugu zangu, naombeni msaada wenu. Nina mdogo wangu alipata field sehemu flani lakini ghafla jamaa wakaja kucancel na kusema hawatachukua watu wa field this year.

Tumekuwa tukihangaika kumtafutia field lakini imekuwa ngumu, ni zaidi ya mwezi sasa yupo home.
Yeye anachukua Public Administration and Political Science. I real need your help.

Asanteni.

Mbimbinho(MOD)
 
Back
Top Bottom