Mwakabizzle Member Joined Jun 10, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Sep 4, 2012 #1 wakuu heshima mbele, naomba msaada wa kujuzwa zilipo ofisi za Proactive Employment Service (PES) namaanisha kituo cha kushukia pamoja na jengo waliopo linaitwaje,natanguliza shukrani wakuu!
wakuu heshima mbele, naomba msaada wa kujuzwa zilipo ofisi za Proactive Employment Service (PES) namaanisha kituo cha kushukia pamoja na jengo waliopo linaitwaje,natanguliza shukrani wakuu!