Je! Inawezekana mtu akakosa chuo hata km tcu wame mselect? Yan aliaply 1st time akawa accepted. 2nd na 3rd round hakuwemo kwa waliokosa. Nifafanulieni ndg zanguni,
Msaada wakuu maana si sote ni ndugu naomba mnichekie jina langu MUSA BONIFASI NYAMBO nimepakwa chuo gani