msaada wakuu

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
96
habari zenu wakuu wa jukwaa hili?
samahani naomba mnisaidie mambo matano hv!

kwanza, eti kama kampuni ikianzishwa na watu wawili au zaidi, je ni kweli kuwa wote hamuwezi kuwa na hisa (share) kiwango sawa?! mfano katika asilimia 100% ya share mmoja ni lazima amiliki asilimia nyingi zaidi ya mwingine?!

pili, hivi kwa million tano tu ninaweza kuanzisha kampuni ya uwekezaji kwenye nyanja tofauti tofauti?

tatu, kwa kampuni yenye mtaji usiozidi million 10 kodi ni asilimia ngapi?!

nne, kwa hiyo kampuni natakiwa niwe na lesen ngapi?!

tano, je naweza kuanzisha kampuni bila kuwa na phiscal office?!

shkran kwa msaada wenu!
 
Nenda pale jengo la ushirika kama upo dar uliza wanaposajili makampuni utapata majibu sahihi ila hili la kufungua kampuni ya mfukoni bila kuwa na ofisi tayari umeshajipambanua kuwa wewe ni tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…