Yah!
Ni kweli huenda gharama zikafika 50%-60% zaid ya hiyo cost ya CIF but the big deal hapo ni wapi unaagiza hako kausafiri na cost charge zinapitia wapi na wapi. Ninalazimika kuweka angalizo hilo japo kidogo, maana kuna watu wengi sana wameliwa au kupata hasara kubwa kwa kuagiza through online na wajanja wakaback charge twice as much. ijapokuwa sina maana kuwa online ni mbaya, la hasha. But inahitaji umakini sana. Hivyo sehemu, njia husika na argent unayetumia huenda ikazidisha ama ika cut cost down. Kumbuka kunavitu vinaitwa Shipment costs, other costs n.k lazima ujue kuwa vitakuwa upande gani? kwako ama kwa argent. Yaani wewe umlipe agent halafu yeye ayamalize yote juu kwa juu, cost zake itakuwa tofauti sana na ambapo wewe unge-process via other clearance and forwarding deparments. So kuwa muangalifu kidogo katika pande zote before huja toa maamuzi. Au uulize watu waliowahikuagiza hivyo vitu walifanikiwaje.:drum: