Habari zenu wadau
Nina mdogo wangu alikua anaapply mkopo Online (OLAS), alifanikiwa kuweka password kama inavyotakiwa. Sasa kila akitaka kulog in system inamgomea na kuleta ujumbe kwamba details anazoingiza hazifanan na alizoweka mwanzo wakati ni hizo hizo hakuna kilichobadilika.
Je afanyeje kwani anashindwa kuendelea kujaza form zingine kwenye hiyo system