msaada wakuu

The Hurricane

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
760
Reaction score
1,048
naomba mnisaidie.,nna tatizo la fizi kuuma nikila nyama inaweza kunichukua hata siku mbili nifanyaje maana mpaka nafkiria kuacha kula nyama
 
Pole sana mkuu. Kwakuwa unashindwa kula nyama ya kawaida siyo mbaya unaweza kuacha kuila ila ingekuwa ni ile "nyama" nyingine kidogo kungekuwa na shida. Turudi kwenye tatizo;

1. Huwa unakumbuka kula matunda mara kwa mara?

2. Una swaki mara ngapi kwa siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…