Mkuu niagize mimi ndio kazi yangu hiyo usije ukatumia staili kama za kuagiza china uzilete Dubai utajuta.Guys nahitaji kuagiza spare parts Dubai bila kwenda Dubai.
Kama kuna mtu anaweza kunipa muongozo.
Kwa Dubai.,
1. Wapi mnanunua spareparts hasa kwa gari za Kijerumani?
2. Mnatumia kampuni zipi za usafiri kwa njia ya maji na anga?
Pia kwa Upande wa Kenya, Mnanunua spare parts wapi, na logistics za kuzivusha kuja Tanzania zipoje?
Mkiweza kunisaidia hayo mawili nitashukuru.
Mungu awabariki wale ndugu zetu ambao mlitusaidia ABC za kununua vitu China aliexpress na Alibaba. Kama mimi kwangu mmechangia sehemu kubwa sana ya maiaha yangu kwa hii miaka mitatu.
Nawasilisha.
Hili halikuwa lengo langu mkuu, watu wa kuwaagiza ninao tena trusted kabisa.Mkuu niagize mimi ndio kazi yangu hiyo usije ukatumia staili kama za kuagiza china uzilete Dubai utajuta.
Whatsapp +971527794329
Usijali mkuu tuko pamoja,nilitoa wazo tu la kukurahisishia nikajua umekwama thus whyHili halikuwa lengo langu mkuu, watu wa kuwaagiza ninao tena trusted kabisa.
Lengo la uzi halikuwa hilo.
Wewe upo dubai?Usijali mkuu tuko pamoja,nilitoa wazo tu la kukurahisishia nikajua umekwama thus why