Basically, tofauti ipo na ndio sababu zikawa ni degrees tofauti isipokuwa zipo zipo course ambazo kwa pamoja wote mtazisoma, na zipo kozi nyingine lazima mtatofautiana.
Mfano.
1.Anayesoma engineering geology atasoma na kozi ya soil mechanics, foundation engineering, civil engineering materials ambazo mtu wa in Geology, applied geology au with geology hawazisomi.
2. Anayesoma with geolgy atakuwa sawa na wa in geology, applied geology isipokuwa yeye atakuwa na ziada ya baadhi ya masomo ya physics, chemistrycama hesabu.
3.In geology na applied geology hawana tofauti yoyote isiipokuwa ya vyuo tu. Applied geology ipo UDOM.
Kwa msaada zaidi check prospectus ya UDSM kwenye web yao, Undergraduate> admission>prospectus & by-laws