Haupo serious, biashara unayotaka kuifanya inabidi ufanye survey mwenyewe ikiwezekana ujue ni dawa zipi ambazo znapatikana au haxipatikani kwenye hayo maduka. epuka secondary data kwenye mambo ya msingi
Yes nikweli nimeshafanya kwa maeneo ya bunju tayari ila lazima uwe na mwenyeji anayeijua mitaa vizuri maana mengi ya maduka yapo barabarani na hayana vibali kwani wanahitaji mita 300 kati ya duka moja na jingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.