Kama unatumia blogger inabid uweke in-article Ad code kwenye html ya post yako.
Kama ni WordPress download Ad inserter plugin yoyote itakusaidia kufanya ivyo.
Ila kwa nini uhangaike? Turn on Auto Ads na Adsense wataonyesha matangazo automatically sehemu zote ambazo wataona zinafaa matangazo kutokea kwenye site yako, ikiwemo katikati ya post.