naomba mniambie wajuzi.ktk haya matokeo mnaona ninafaa kwenda kuendelea a-leval au chuo..na kama a-leval nikasome comb gani?.na kama ni chuo nikasomee nini???msaada please!!
Civics-c
physics-d
chemistry-d
bios-c
math-d
kiswahili-b
english-c
history-d
geography-c