msaada wana jamii Global career company

halfan30

Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
52
Reaction score
46
hawa jamaa waltangaza kazi nika-apply so wameniita kwenye interview yao j3. nahitaji info zaidi wanashughulika na nini na kama ni watu makini. maana sisi wengine tuko mikoani so trip hadi dar ujipange. kazi ilikua ZoomTanzania😛hone:
 
Ni recruitment Agency! Ni kampuni ya Wakenya, aisee hao raia hawana longo longo kabisa. Ofisi zao zipo Maktaba Sqr kama hawatakuwa wamehama.
 
wamesema wapo golden jubilee tower opposite na ppf tower in mezanine floor. nahitaji maoni ya kuhakikisha hizo taarifa wanajamii wenzangu.
 
Nimeku-PM pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…